GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, May 2, 2011

Safari ya Jangwani si mchezo. Kwakweli mwache mwarabu aitwe mwarabu!

Nikitowa swagga na mtaalamu wetu wa urembo

Hapa wadau wakiingia kwenye magari

Safari ya jangwani. Hapa ni Ma 4X4

Katika hii Safari Kwakweli sijaona gari ya chini ya mwaka 2009

VX Ikilitendea haki jangwaWadau wakiwa wameweka kambi ya muda jangwani

Dah kama ni bongo sizani kama kunamtu angepeleka VX lake jangwani! 

Safarini jangwani

Mdau akisalimia jangwa.


Simchezo kama unaimani ndogo roho inaweza toka

Hapa nyumbani hizi gari ni za waheshimiwa lakini huko ni za kuchezea kama unavyo ona!

Nimekubali


Mdau akitowa swagga. Dah jamaa yuko fitiUnaweza kuzani unaangalia movie

Nimelikubali hili swagga. ha hii picha imenipa dili mwakani .

V8 ikilitendea haki jangwa. Kwakweli watu walioko ndani yagari kama hujala vizuri lazima utume salamu kwenye jangwakati ya magari ambayo FBI wanapendaga kuyatumia ni hili. ila huku linapiga kazi tofauti kabisa