GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, May 9, 2011

Siku Kawina Maita alipofunga pingu zamaisha na Belinda Amegindra. Hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwa maharusi hawa. Nawaonjesha kidogo tuu jinsi Mambo yalivyojiri!

Kawina na My Wife wake Belinda. Kweli walipendeza sana 

Safi sana. Na sherehe ilikuwa Diamond VIP Hall

Nice
Safi


Bwana harusi Kawina  na Bestman


Maharusi wakiwa na wasimamizi waoUpendo kwa Wazazi

Upendo kwa wazazi

Best Man


Biharusi akiwa na Matron 
Matron Safi sana


Safi


Best Man

Bwana Harusi Kawina


Kwaweli harusi ilifana sana ila kitu ambacho pia kilifurahisha ni jinsi maharusi walivyoingia ukumbini. Kama unavyoona maharusi walipita juu ya kapeti chapa mtu!

Watu wakiwa wamelala chini tayari kabisa kwa maharusi kupita juu yao

Maharusi wakiingia

Bwanaharusi akipita juu ya kapeti chapa mtu! Safi sana yani Hata mtoto wa mfalme wa uingereza hakupata hii heshima!

Safi sana dumisha mila baba

Nimekubali baba


Biharusi naye akipita juu ya kapeti chapa mtu!

Safi

Nice 


Hatimaye maharusi wakafanikiwa kuingia ukumbini kwa kukanyaga kapeti chapa mtu! Safi sana!