GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 18, 2011

Hatimaye Robert afunga pingu za maisha na Bertha. Hongera sana Kaka

Robert na my wife wake.

Hakika mlipendeza sana. Safi sana


Robert aka Bwana harusi

Bestman

Bertha aka Bi harusi au Mke wa Robert

Safi sana


MatronBi harusi akiwa na walinzi wake

Bwana harusi akiwa na walinzi wake

Robert akimtandika pingu za maisha Bertha

Bertha akimtandika pingu Robert

Wadau mbalimbali walio hudhuria kwenye harusi hi kama namuona bwana Galinoma akiwa na Alex

Namuona Dr mzee wa Jagermeister


Namuona Dada Carol safi sana