GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, November 23, 2011

The Wedding of Eliud and Stella. Chakula bado kiko jikoni! Onja Kidogo

Eliud na My Wife wake. Safi sana hakika mlipendeza sana

Nice


Nimeipenda hi Pix


Kanisa la msasani Lutheran. Dah kweli hapa kuna upakoHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Diamond-Kubwa

Hapa ndipo maharusi walipo kaa. Nimependa hi style


Maswagga ya Bwana harusi. Hakika huyu ni mpenzi na Shabiki wa Chelsea . Yani badala yakuandika jina lake akaweka nembo ya Zee Bluuuu

Keki ilikuwa si Mchezo. Naona kanembo cha I DO

Mambo haya yalikuwa chini ya Dorkas. Kweli dada unatisha

Nimekubali. Dah mwisho wa kuonja. Ngoja niendele na kazi