GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 28, 2011

Happy Birthday Super model wetu Sasha

Happy Birthday SashaYani Kadri unavyozidi kukuwa na Maswagga yanaongezeka. Safi sana

Nimekubali Mama


Dahh hakika sasa iledili ya kwenda USA kupiga tangazo inakaribia

Salamu za birthday toka kwa wadau mbalimbali zilimiminika. Hapa Simon akitowa salamu 

Namimi nilitowa salamu

Rehema naye alitowa salamuWewe mtoto kwa maswagga tuuu kweli unatisha


Simon naye akatowa swagga

wadau walio kuja kumpa salamu Sasha

The boys


Mhhhh kweli watoto wanaroho nzuri sana


Show Love. Safi sana
Jamani watoto sikuhizi wanamaswaga

Larry akitafakari. I wish ningejuwa anawaza nini!
Watoto kwa keki simchezo


Sasha akikata keki
Watoto kwa keki Dah nimekubali. 
Jamani mwisho wakunuku. Sasha i wish u all the best katika maisha yako. Tuko pamoja