GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 29, 2010

Baadhi ya vifaa nilivyo vinunuwa kwa ajili yakazi. Kama unavyo juwa Teknologia inabadilika kila siku na usipo kwenda nayo utabaki nyuma.

Baadhi ya Video Light nilizo nunuwa. hizi hazili umeme pia hazina joto

Add caption

mzigo ukiwa umefungwa


Nikiwa nakaguwa mzigo kwa makini

UV Light . Hizi pia ni nzuri sana kwa kazi.