GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 19, 2010

Mama Natasha Ndani ya kipindi cha Wanawake Live. Hapa ni kabla ya kuanza kurekodi kipindi. Picha ya chini Anaonekana Producer wa kipindi akimpa maelekezo mafupi mama Natasha.