GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 22, 2010

Sikuhizi kwenye maharusi watu hawajazi mauwa Rose mezani tena. Hawa jama wa Lotus kweli wamekuwa wabunifu. wao wameweka samaki. Dah ila uswahilini watu hawakawii kuwala. kweli huu ni ubunifu mzuri sana. Kweli wakati mwingine wapambaji wanajaza mauwa mpaka watu wanakuwa hawaonekani na inakuwa kazi kupiga picha

Kila meza ikiwa imewekewa samaki wakizunguka

Hii meza ilikuwa maalum kwa ajili ya maharusi kupata diner.