GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, November 18, 2010

Lost Dream Coming soon. Bonge La Movie. Humu ndani yuko Fike Wilson, Mzee Chillo, Paster Miamba, Zola D na wengine wengi tuu. Nitaendelea kuku julisaha. Jamaa wamepigana ngumi za ukweli mpaka kuna kipande polisi ilibidi watusaidie kuamua. Wenyewe wanasema Ualisia, sasa hakuna anaye kubali kupigwa na director anasema mmoja lazima apigwe! kazi kwelikweli.