GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 29, 2010

Jiko linalo toa moto wenye Nyuzi joto 2000. Yani chakula kinaiva kwa dakika 3. Unapika mwenyewe mezani.

Nikipakuliwa chakula tulicho kipika kwa dakika tatu. Kweli hawa jama wanatisha