GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 26, 2010

Kwa muda mrefu mmekuwa mkinitumia emails mkiniomba japo nionyeshe kazi za harusi tunazofanya. Basi nilikuwa nawaambi mpaka nikiongea na wateja wetu wakikubali nami nitaanza kuzirusha. Leo nawaletea Jackob and Petronila Weeding Pix. Kweli hii harusi ilifana sana.

Jackob na wifeBest man na wife. Huwa inapendeza sana kama ukikuta wasimamizi ni mtu na mke wake
Dah dogo anajuwa swaga


Kweli wamependeza


Kweli hawa wameutendea haki ukumbi wa dimond VIP

Kweli ukumbi ulipendeza sana

High Table

Kabla ya kuingia ukumbini unakaribishwa na Red Carpet

Kijana wangu mwingine wa kazi Godi. Huyu ni mpiga picha za mnato

Nikiwa na timu  baada ya kumaliza kazi