GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 12, 2010

Pole usilie nazani haya maneno aliambiwa super model wetu bi Sasha. Huwa najiulizaga hivi nikwanini tukisha kuwa watu wazima huwa hatupendi picha zetu za utoto? sababu ni nini?