GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, November 11, 2010

Karibu GRM Studio. Wadau hapa ndipo tunapo rekodi kipingi cha Wanawake live. hichi kipindi kinaruka EATV kila jumanne saa Tatu usiku (9:00 Pm) na Host ni Joyce Kiria. Marudio ni Jumatano saa Nane mchana. (2:00 PM)