GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, February 27, 2014

The Wedding of Darius and Anna. Onja Kidogo Jinsi mambo yalivyojiri

Hakika Darius na Anna walitokelezea. Safi sana


Nice


Swagga la baba mwenye nyumba aka katiba Mpya
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more

Maswagga kutoka kwa masuper model wetu Simon and Sasha 2014

Simon and Sasha wakiwasalimia wadau wa GRM Production. Wanasema wako fiti na mwaka huu wanakuja kwa fujo. Mwakajana walikuwa wamebanwa sana na shule.


Sasha

Sasha akitowa swagga

NiceSimon akitowa swagga la kitakatifu. Utazani mpole kweli???!!!


Mwisho wa salamu!!

Friday, February 21, 2014

The Wedding of Kelvin and Josephine. Onja Kidogo !

Hakika Kelvin and Josephine walitokelezea. Safi sana

Nice

kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Hollyness's Night! Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri.

Hakika Hollyness alitokelezea. Safi sana

Nice


Nimelikubali hili gauni. Safi sanaHollyness akiwa na Matron wake
Hollyness akiwa na mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Safi sana

NiceThe Team
Bestman akitowa swagga na Mrs wake
Nice


Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more