![]() |
Hakika Darius na Anna walitokelezea. Safi sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Swagga la baba mwenye nyumba aka katiba Mpya |
![]() |
Hakika Anna alilitendea haki gauni lake la harusi |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao bestman and Matron |
![]() |
Shika neno tenda meno |
![]() |
Darius na Anna wakiwa kanisani. Naona wako makini kabisa wanafuatilia neno. Pembeni ni Isaka and Joyful |
![]() |
Ndoa ilifungwa katika kanisa Pool of Siloam |
![]() |
Pete |
![]() |
Darius na Anna wakionyesha mikataba yao ya kuishi pamoja milele mpaka kifo kitakapowatenganisha |
![]() |
Neno kutoka kwa wazazi |
![]() |
Kitu cha Tanzanite. Safi sana |
![]() |
kama kawaida mambo ya Makeup yalikuwa chini ya Glam Madam |
![]() |
Safi |
![]() |
keki |
![]() |
Maharusi wakiingia ukumbini |
![]() |
Nice. Chezea Liliy!!!! |
![]() |
Ndafu |
![]() |
Mwisho wakunuku |
No comments:
Post a Comment