GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, February 27, 2014

Maswagga kutoka kwa masuper model wetu Simon and Sasha 2014

Simon and Sasha wakiwasalimia wadau wa GRM Production. Wanasema wako fiti na mwaka huu wanakuja kwa fujo. Mwakajana walikuwa wamebanwa sana na shule.


Sasha

Sasha akitowa swagga

NiceSimon akitowa swagga la kitakatifu. Utazani mpole kweli???!!!


Mwisho wa salamu!!