GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, August 23, 2013

Adolphina Rhobi Maginga Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Adolphina alipendeza sana 


Tokelezea weweHakika Adolphina alilitendea haki gauni lake.

Adolphina akiwa na Matron wake


Upendo kwa Wazazi


Mr and Mrs .R Maginga Hakika walipendeza sana

Nice


The FamilyKwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More


keki
Adolphina akimtambulisha Mchumba wake ambaye kwa  sasa wameshakuwa Mr and Mrs


Adolphina akimkaribisha mchumba wake chakula. SafiMwisho wakunuku. Kwaniaba ya GRM Production napenda kuwatakia maharusi hawa maisha mema yenye furaha, amani na upendo