GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, August 16, 2013

The wedding of Mwemezi and Ninsima. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Mwemezi and Ninsima hakika walipendeza sana

NiceThe Moment. Hakika wanapendana.


Ninsima akiwa na Matron wake. Safi sana


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron. 

Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
Swagga


Swagga la baba Mwenyenyumba


Hakika Ninsima alilitendea haki gauni lake la Harusi


The Team

Ruka juuuu. Safi sanaSwagga La 3D


Nimetokea kuipenda hi picha. Utazani  Mbingu imefunguka hivi na maharusi wakashuka duniani. Nimawazo yangu tuuuu


Woo I love this. kweli napenda kuwapongeza Mwemezi na Ninsima kwa   kwa ushirikiano. Waliruka juuu jamani.  Kweli ukitaka kitukizuri lazima ukifanyie kazi.

Chezea the girls.  Dah hata hawa nawapa tano. Kweli walifanya kazi ya ziada ya kuhakikisha tunapata kumbukumbu nzuri. Mpaka wakavua 'michuchumio'-Viatu


This is One of My best. Well kwa wapiga picha ili kupata picha kama hi maharusi waonekane sawa na jengo  inabidi utumie Wide Angle Lense
Hapa najikubali. Maharusi warefu zaidi ya Haya magorofa pacha ambayo nimaharufu sana hapa Tanzania

Kweli kunasehemu nilikuwa na soma kitabu cha professional Wedding Photographer nikaona hili swagga. Nilisema Iko siku nitalijaribu. Dah Nimedesa.


3D

Chezea the Girls

Hapa Nilitumia Lensi ya kawaida. Ukiangalia picha ya hapo juu utaona tofauti kati ya Wede Ange lensi na lensi yakawaida au Telephoto


3D


Details. Ukiwa unapiga picha kunadetails ndogondogo lazima ukumbuke kuzinuku. Maharusi wengi sikuhizi wanapenda kupersonalize vitu mfano unakuta shati limeandikwa jina lake etc sasa usipopiga picha unakuwa hujatenda haki. au  Bwana harusi ametupia kidonda cha nguvu(Saa) kama hicho sasa usipokinuku inakuwa haujatenda haki

In Love


Ili swagga huwa nalipenda sana . Ila inakuwa ni kazi kwasababu huwa baada yakufunga ndoa nje ya kanisa kunakuwaga na shambrashambra balaa, sasa kuwaambia watu wasogee upige picha huwa nikazi. Ila nashukuru mungu ndugu, jamaa na marafiki walikuwa waelewa sana kuwa hi siku haitajirudia na kuwapa fursa maharusi kupata kumbukumbu nzuri nje ya kanisa. Safi sana
Upendo kwa Wazazi

Upendo kwa Baba
Upendo kwa Baba
NiceJamani Mwisho wakunuku. Wadau wa GRM Production nawatakia Weekend njema.