GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, December 10, 2012

The Wedding of Benjamin and Anna. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Benjamin and Anna. Safi sana hakika walipendeza sana.


Safi sana

Kwakweli nilifurahi sana kwenye hi harusi ya Benjamin and Anna. Maharusi walikuwa na furaha sana na shuhuli ilikuwa nzuri sana. This is one of the best wedding
In LoveSwagga

In Love

Benjamin akiwa na bestman


Anna akiwa na Matron


NiceSwagga la baba mwenyenyumba
Hakika Anna alilitendea haki gauni lake la Harusi
Nice. Kwakweli sijui kama kuna Bi harusi hapa Tanzania siku ya harusi yake aliamuwa kuwacha nyele zake bila kuziunganisha-au kuchomea ili ziwe refu. Safi sana Anna. Hope watu wataanza kujiamini sasa.

NiceSafi


The GirlsGari walilopanda maharusi likitowa Swagga
Pingu
Maharusi wakiwa nafuraha baada ya kusine mkataba wakuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe


Upendo kwa wazaziNice

Keki

Dah kweli nimeikubali hi keki na mimi nimejikubali kwa kuinuku Vizuri

Kwakweli ukumbi ulipendeza sana. Hapa Ni whitesandVijana wangu wakiwa kazini


Nice. I can see my friend from UK. Safi sana

Maharusi wakiingia ukumbini kwa swagga . Safi sana
First Dance
Safi sana

C- My Money..... I dont care....Nimeikubali hiyo Glass


duuuuu kijana wangu anamkwala

Who is Next kufunga pinguDah Jamani Mwisho wakunuku.