GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, March 24, 2015

The Wedding of Daniel and Faith. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika Daniel and Faith walipendeza sana
Nice

The MomentMaharusi wakiwa na wasimamizi wao Best man and Matron
The Team

The Girls


The moment

Swagga la mama mwenye nyumba

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi-Belinda Hotel

Nimeikubali hii keki.


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more

Friday, March 6, 2015

The wedding of Respicius and Gladness. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Respicius and Gladness waliokelezea.

Nice

The Moment

The moment- Pale wanaposhindwa kuangaliana machinePinguSwagga la kuonyesha kiwanja baharini. Nazani Respicius alikuwa anamuambia Gladness kiwanja chetu kiko karibia na kile kitalu cha gesi lol @@@@@@

Nice

Swagga la Dunia Mduara

Kweli nime prove kuwa Dunia ni Mduara au kuna anayebisha?????

Nimeikubali hii picha. Na mimi nimejikubali

NiceKwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more