GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, March 6, 2015

The wedding of Respicius and Gladness. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Respicius and Gladness waliokelezea.

Nice

The Moment

The moment- Pale wanaposhindwa kuangaliana machinePinguSwagga la kuonyesha kiwanja baharini. Nazani Respicius alikuwa anamuambia Gladness kiwanja chetu kiko karibia na kile kitalu cha gesi lol @@@@@@

Nice

Swagga la Dunia Mduara

Kweli nime prove kuwa Dunia ni Mduara au kuna anayebisha?????

Nimeikubali hii picha. Na mimi nimejikubali

NiceKwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron

Swagga la baba Mwenye NyumbaHakika Gladness alilitendea haki gauni lake la Harusi
Bestman na Matron nao wakakumbushia enzi za harusi yao. Safi sana


Swagga la ruka juuu


Swagga la Yes I DO

Nice

The Team
Respicius akitowa swagga la mwisho. Nazani hii ni picha ya mwisho Bwanaharusi atakayo piga huku akiwa amezungukwa na warembo bila kuwa na Gladness


The girls
3D


The BoysNice


Swagga la Chungulia


The Girls hakika walitokelezea

Mambo ya B&W Photography
Nice
Family Moment


Nice- Upendo kwa Mama


wakati na set mitambo gafla ukafyetuka . Ila nikapata swagga la binafsi- 'Selfie' loh

Maharusi wakiingia kanisani

Respicius akipewa ruhusa ya kufunga ndoa toka kwa Mama yake GladnessSwagga la Kuruhusiwa kumuangalia bibi harusi kabla ya kufunga ndoa. Hapa huwa kiroho kinadunda na Mnaogopana. Utazani wameonana kwa mara ya kwanza.


Pingu


Respicius aki sign mkataba wa kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe na dogo alikushudia. Hope siku ya harusi ya huyu dogo Respicius umpehii picha  kama moja ya zawadi na wewe uwe kanisani kushuhudia.


Mheshimiwa alikuweko. Naye akapata baraka toka kwa mapandri. Sizani hapa tanzania kama kuna mtu ambaye hamfahamu Mheshimiwa E. Lowasa ...............

Mheshimiwa akitowa neno la Shukrani na kuwasalimu waumini Dah nimekubali hii suti. Mheshimiwa yuko fiti


Maharusi wakitoka kanisani kwa furaha kama MR and Mrs. Dogo yuko tuuu safi sana. siku ya harusi yake nanyie muweko @respicius & Gladness
First dance
Makirikiri. Nawakubali sana hawa vijanakekiNice. Mheshimiwa akicheki kwa umakini  kabisa msosi. Hakuna mtu asiye kuwa makini pale unapokwenda kwenye buffe na kuona nyama. Lazima uakikishe unapata nyama za kutosha kabisa. Na Mama yetu anahakikisha kuwa Mheshimiwa anapata nyama za kutosha kabisa. Safi sana. Yani I wish ningezipata hizi nyama tena leo lol @@@@

Dah kweli ilikuwa ni bonge la Shuhuli. Kwenye mambo ya msosi nyama ilikuwa ni 85%. Ila kweli Morani hawezi mpa chakula bila nyama za kutosha.

Nice

Dada naona alijikausha na Uwa lika muangukia. Sasa You are next au bado ukouko@@@@
Janami mwisho wakunuku