GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, April 25, 2012

Heineken Mansion ndani ya Bongo Land. Jamani wale wapenzi wa Heineken basi kaeni mkao wa kunywa.

Hakika ukipata mualiko wa kuja huku ndani ya hili jumba la Heinken daima huta kaa usahau siku hiyo. Kwanza ni full Heinken, nyama choma, usafiri unapewa na garama yake ni free. Haulipi chochote. 


Jamani ukitaka unajihudumia mwenyewe

Sehemu ya michezo


Play Station kama kawa

TV 80 inc kama kawa Uefa LiveHeineken Mansion kwa njeUsafiri wa kuwachukuwa wadau. Unajuwa ukija huku ndani ya jumba kazi ni moja tu kunywa, kula kufurahi. hauna haja yakufikiria utarudi vipi nyumbani ukiwa chicha. unarudishwa na gari hili


Kwa hapo nimewakubali Heineken

DJ 

Ukifika tu ndani ya jumba unakaribishwa na hawa wadada alafu unapatiwa heineken Baridiiiiiii


Wadau wakicheki mpira Live


Muke ya muzungu (Mange)naye alipata mualikoKama kawa namimi nikatowa swagga

Karabani. Dah nimeipenda hi picha sana

Michael Hongera sana Bro huyu jamaa ndio host mwenyewe. au Baba mwenye nyumba

Niceukija huku pia unapata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali za heineken. hapa Karabani alijishindia carton ya heineken


Wadau wakifurahia Heineken. Yani ukija unakabiziwa kindo kimeja Heineken Baridiiiiiiii
Hi Nijana Wadau wa Chelsea wakishangilia lile goli la ushindi

Mzuka

Ruben mwenye T-shirt ya kijani naye alishindwa kuficha hisia zake. Safi sana
Mzuka
NiceNimekubali haya maswagga

Dah kwaleo ngoja niishie hapa tutakutana ndani ya jumba tena 

Tuesday, April 24, 2012

Nancy's NightN na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri! Jamani Chakula bado kiko jikoni!

Nancy safi sana hakika ulipendeza

Nice 
Nancy akiwa na mchumba wake ila kwa sasa ni mume na mke.

Safi sana
The KissIn Love


In Love


First Kiss

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Best man na MatronBestman na Matron

Maswagga ya mwanakamati safi sanaNice

Nice


Upendo kwa wazaziSafi sana Mr and Mrs (Hon) Ayub L. Ritti


NiceB Band ilikuweko
Safi sana


Hakika mpambaji aliutendea haki ukumbi wa diamond jubilee

Watu wamekuwa wakiniuliza number za mpambaji  wanaitwa VX(Virtual Xchange +255712383636 or +255713000016
email hellen@vx-group.com

Keki
Jamni mwisho wakunuku. Bado chakula kiko jikoni