![]() |
Nakumbuka hapa kanumba alikuja kunitembelea ofisini kwangu akiwa na Ray na JB |
![]() |
Kanumba akiwa na JB |
![]() |
Kanumba akiwa na Adolf wa Wenge |
![]() |
Nakumbuka hapa tulikuwa tuna mkabizi adolf simu |
![]() |
Nakumbuka tulipiga picha Baada ya kumkabidhi simu adolf kama zawadi baada ya kutembelea ofisi za kanumba-Kanumba house na GRM production |
![]() |
Kanumba na TK |
![]() |
Nakumbuka hapa kanumba alifanyiwa suprise birthday party na Silvia Sharry |
![]() |
alipo ingia tuu kwenye ukumbi wa GRM Production nakumbuka tulimmwagia maji |
![]() |
Ray na Kanumba. Hakika Ray utamiss swaiba wako sana. |
![]() |
Kanumba na P.Mwamba |
![]() |
Kanumba akitaniana na Ray |
![]() |
Kanumba akimkabizi adolf Simu |
![]() |
Akimkabidhi DVD |
![]() |
Hakika kanumba alikuwa ni mtu wa watu, mwenye upendo, hana majivuno. I will miss u my Friend R.I.P |
DAA!! KANUMBA THE GREAT UR THE ACTOR I LV MOST
ReplyDeleteMUNGU AKUPE PUMZIKO LA AMANI UONE MWANGA WA MILELE