GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, April 2, 2012

Asha's Nite. Na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri pale Ubungo Plaza

Asha Hakika ulipendeza sana


Nice
In Love

Best man na Matron. Hakika nao walipendeza sana

Upendo kwa wazaziAsha akiwa na mchumba wake ambaye kwa sasa ni mume wake. Safi sana
Nice


Love


Upendo kwa Dada

Asha akiwa na Dada pamoja na Mama. Safi sana


Nice

Baba yake Asha akitowa swagga-Mheshimiwa Prof J Kapuya
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao


Upendo kwa Wazazi


Nice full in LoveKama kawaida tulifunga mobile Studio

Ukumbi-Ubungo Plaza


Rais Mstaafu akiwasili Mheshimiwa 

Safi sana

Makamu wa Rais akiwasili


Nice

Makamu wapili wa Rais wa Zanzibar akiwa na My wife wake. Safi sana

Mama Lowasa akiwasili

Safi sana Mheshimiwa bado yuko fiti

First Lady akiwasili -Mama Salma Kikwete. Safi sana

Nice


Mheshimiwa Mama Yetu A. Kilango akiwasili 

Nice

Dah Jamani Full in Love

Hakika wanapendana sana. Mr and Mrs 


Bi Harusi Mtarajiwa akiwasili


Keki Safi sana

Dah jamani naomba kwaleo niishie hapa chakula bado kiko jikoni