GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, April 20, 2012

Happy Birthday Rehema. Pokea salamu na pongezi kwa kiswagga!


Happy Birthday Rehema


 Naona kilometa zinazidi songaPokea salamu toka kwa Sasha aka super model wetu


Pokea salamu toka kwa Simon.Maswagga ya Visigino si mchezo
Duhhh inatosha 


Usije ukavunjika kiuno. Inatosha nazani salamu zako Rehema ameshazipata


Nimekubali hili swagga 

All the best