GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, April 16, 2012

I will Miss U my Friend

Nikiwa na Kanumba. I will Miss u.
Dah kwakweli nimekuwa nikipiga picha muda mrefu ila mpaka leo sijui kwanini mtu akifariki unakuwa hauoni picha zake.  

Nakumbuka siku nilipokupiga hi picha i wish ningepiga nyingi. Na wala hatukufunga hata studio ilikuwa ni flash tu yakamera na sikuamini kama uliichaguwa kuwa kwenye cover ya movie ya young bilionaire.  Kweli haukuwa mtu wakutaka makuu.  Iko siku nitafunguka kuhusu movie ya young billionare. 

Rafiki umeondoka mapema sana najuwa iko siku tutakutana tena

R.I. P'Bwana ametowa na Bwana ametwa'