GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, April 19, 2012

Asha's Nite. Nabeep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri. Chakula bado kiko jikoni

Asha hakika ulipendeza sana

Nice

Hakika umelitendea haki gauniAsha akiwa na Matron wake.NiceUpendo kwa Dada


Nice


Safi sana 
In Love


Asha akiwa na Lazizi wake aka Mushi

Safi sana

Nice

Dah Mushi nimekubali hizo pamba. Inabidi uniambie zinapatikana wapi namimi nipate japo moja. Safi sana

Upendo kwa Bestman
In Love
Swagga la wenyewivu wajinyonge

Upendo kwa Mama


Mama yake Asha. Safi sana. Hakika ulipendeza sanaMc alikuwa Dr Cheni.

Upenzo kwa wazazi.

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi. Jamani haya ni mambo ya LotusKeki -dah kwakweli ilikuwa tamu sana


Kiatu


Kama kawa Mtaalamu wa Red Carpet na details Mama wa 8020 alikuweko akinukuBBM

BBM
Jamani mwisho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni