GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, December 14, 2010

Janeth Makondoo Kitchen Party. Kwakweli hii sherehe ilifana sana. Sitaki kusema mengi wewe jione mwenyewe.

Bi Janeth

Nimekubali mama kwa swaga uko!


Janeth na Matron wake Mrs Haule

Janeth akipozi na Mama Yake mzazi.
Safi sana


Keki inavyo onekana kwa juu. kweli huu ubunifu nimeukubali. Alafu nakumbuka ilivyokuwa inanukia vizuri. sijui walichanganya na Amarula

Zawadi mbalimbali alizopewa

Kabati

Mambo ya jikoni.

Ukumbi ulivyokuwa umepambwa. Safi sana

Akiingia kwenye ukumbi

Kweli wanakamati nimewakubali. Bi Janeth aliingia na staili ya ainayake.  Mimi naomba niiite staili ya Madafu. manake kila mtu alikuwa na dafuJaneth akiwakaribisha wageni waalikwa

Upendo kwa mama. Katika kitu kilicho wafurahisha watu katika sherehe hii na wengine kubaki hawaamini ni pale Janeth alipo mzawadia mama yake mzazi gari . Kwakweli huu ni mfano wakuiga kwa kuthamini wazazi

Gari alilopewa mama. Nazani leo watakuwa wanashuhulikia number.

Janeth katika pozi.

Hi nimoja ya mobile studio tuliyo ifunga ukumbini. Hakuna aja yakwenda mbali kupiga picha. Tunamalizana ukumbini.

Kiatu alicho kuwa amekivaa Janeth

Mtoa mada wa sikuhiyo. Huyumama  mhh. kweli alitoa point. Hakika Janeth umepata somo

Naona Mheshimiwa Sundi katika pozi

Mambo ya Shampeni

Afadhali imefunguaka!

Mambo ya msosi
Mama akiwa ndani yagari huku akitokwa na machozi ya furaha

Mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya kitchen party ila nahisi hapa huyu dada alikuwa 'anasasambua'

Huyu alikuwa MC wa shuhuli

Keki ya shuhuli. kweli imetulia na ilikuwa tamu sana. Nawapa 100 kwa aliyeitengeneza