GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 2, 2010

Mtura Mtura wa chagga bites moshi si mchezo. Huku dar unaitwa Bomu lakini Moshi ni Mtura. Kwa wasio jua hi ni sosage ya kichaga inawekwa nyama laini ya mbuzi. Hivi jamani kuna mdau anajua kwa Dar es salaam mtura unapatikana wapi?

Mtura ukiwa tayari kuliwa. Simchezo

Mtura

Ukiwa jikoni dah kweli kama ningeupata tena weekend hii! Mambo yangekuwa super.

Bango la Chagga Bites

Dah kweli krismass ikifika  Moshi moja