GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, December 28, 2010

Siku Magulya na Amanda walipo funga pingu za maisha. Kweli sina chakusema wewe angalia jinsi mambo yalivyokuwa. Safari hii tunaanzia Kanisani.


Magulya and Wife Amanda

Kanisa walipofungia pingu za maisha

Gari lililo beba maharusi

Amanda na Matron wake

Dah nice

Nimekubali mama 

Magulya na Best Man wake 

Mr and Mrs G Kamukara

Maharusi wakiwa kanisani

Naona bwanaharusi akitabasamu. Kamasijakosea hapa Pandri aliuliza kuna anayepinga hawa wasiowane. Basi kakuna aliyepinga

Amanda akimtandika Pingu Magulya aka  Mume

Baada ya zoezi la pingu kumalizika wakatabasamu. Kwakweli hapa huwa maharusi wanatoka jasho.


Safi sana Amanda


Hakika Umependeza dada

superPozi kama Obama. Safi sana

Mama Kamukara


Maharusi wakitia saini mkataba wa kuishi pamoja


Wakitoka kanisani kwa furaha. Hakika ndoto zao zimetimia

Mume na MkeUkumbi jinsi ulivyokuwa umerembwa. 

Keki ya harusi simchezo

Kamukara na wife

Maharusi walifungua shampeni


G. kavishe na My wife wake

Safi sana dada nimekubali swagga lako

Maharusi wakila chakula

Vijana wakifungua Mobile studio tuliyo ifunga ukumbini


Mr and Mrs. Kweli mlipendeza

Kijana wangu akiwa kazini kurekodi matukio