GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, December 27, 2010

Siku Eric na Annie Walipo funga pingu za maisha. Nakumbuka ilikuwa ni siku ya pekee ambayo hawa maharusi hawata kaa waisahau. Kweli sherehe ilifana sana na maharusi walipendeza sana.
Eric na My Wife wake

Nakumbuka kama Eric hapa alikuwa anasema i love u baby

Lazima japo ubebe mali zako.

Picha ya pamoja


Safi sana


Annie aka The Wife. Kweli dada ulipendeza sana. Hata staile ya nywele ilifunika. Sijawahi iona bongo.

Eric aka Husband. Safi sana

Gari walilopanda maharusi. nimependa lilivyo pambwa.

Kanisa walipofungia ndoa. Azania

Mpaka kanisa lilipambwa

Hi picha naipenda sana. Ipo katika kumi bora zangu. Hili gauni la bibi harusi nimelikubali.

Mpaka milango ya kanisa kuliwekwa majina ya maharusi. 

Ukumbi ulipendeza sana

Keki ya harusi. Ilikuwa tamu sana

Kitu ambacho kiliwaacha watu wanashanga ni style ambayo maharusi waliingia nayo ukumbini. Ilikuwa ni kama coming to America. Walikaribishwa na ngoma . Hakika mfalme alikuwa anaowa 

Maharusi wakipozi kwenye sehemu maalumu ya kupigia picha. Nyuma ni picha yao iliyo chorwa. 

Upendo kwa Baba

Upendo kwa Baba.

Mamimi nikaona ngoja nitoe swagga na Maharusi