![]() |
| Eric na My Wife wake |
![]() |
| Nakumbuka kama Eric hapa alikuwa anasema i love u baby |
![]() |
| Lazima japo ubebe mali zako. |
![]() |
| Picha ya pamoja |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Annie aka The Wife. Kweli dada ulipendeza sana. Hata staile ya nywele ilifunika. Sijawahi iona bongo. |
![]() |
| Eric aka Husband. Safi sana |
![]() |
| Gari walilopanda maharusi. nimependa lilivyo pambwa. |
![]() |
| Kanisa walipofungia ndoa. Azania |
![]() |
| Mpaka kanisa lilipambwa |
![]() |
| Hi picha naipenda sana. Ipo katika kumi bora zangu. Hili gauni la bibi harusi nimelikubali. |
![]() |
| Mpaka milango ya kanisa kuliwekwa majina ya maharusi. |
![]() |
| Ukumbi ulipendeza sana |
![]() |
| Keki ya harusi. Ilikuwa tamu sana |
![]() |
| Kitu ambacho kiliwaacha watu wanashanga ni style ambayo maharusi waliingia nayo ukumbini. Ilikuwa ni kama coming to America. Walikaribishwa na ngoma . Hakika mfalme alikuwa anaowa |
![]() |
| Maharusi wakipozi kwenye sehemu maalumu ya kupigia picha. Nyuma ni picha yao iliyo chorwa. |
![]() |
| Upendo kwa Baba |
![]() |
| Upendo kwa Baba. |
![]() |
| Mamimi nikaona ngoja nitoe swagga na Maharusi |

































Maharusi walipendeza sana hongera zenu na Mungu awabariki katika ndoa yenu. Bibi harusi alipendeza sana na hiyo style ya nywele ni nzuri mno sijui inaitwaje jamani natamani kweli kuijua.
ReplyDelete