GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, March 27, 2013

Utali wa ndani Part 6. Ndani ya Jiji la Mwanza.

Nilipokuwa nahitimisha ziara yangu kanda ya ziwa -Lake Zone nilisema lazima nije  kuangalia hichi kivutio kikuu cha jiji la Mwanza ambacho ni haya mawe

Nikiangalia kwa umakini


Nikiyanuku Haya maweHamidu  akinuku kivutio cha mwanza


Hakika hapa nimeyatendea haki haya mawe.

Nimejikubali


Hili jiwe lililoko kulia naona watu wengi  wakijaga kupiga picha wanaliruka.  Nikasema japo  nilinuku 


Kivutio kingine cha Mwanza ni huyu samaki anayerusha maji. Yani hapa pako busy na pameleta ajira. Kunawapigapicha wanapiga picha na unazipata papo kwa papo.

Mazingira safi kwa jiji la mwanzaJamani aksante sana kwa Jiji la mwanza na Lake zone kwa ujumla. Nimejifunza mambo mengi sana.

Na samahani wadau najuwa sijaupdate blog kwa muda. Now iam back in town so mambo yatakuwa super.


Jane Night onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Jane safi sana  hakika alipendeza sanaHakika Jane alilitendea haki gauni lake. Safi sana


Upendo kwa Kaka


Safi 

Mume Mtarajiwa wa Jane. Ila kwa sasa ni Mr and Mrs


Kama kawa Glam Madam alikuwa ndani yanyumba akifanya mambo yake


Jane akiwasili ukumbini


MC Dr Cheni 


Zawadi kwa mkemtarajiwa safi sana

BBM


Jamani mwisho wakunuku