GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, March 1, 2013

The Wedding of Azael Kitange and Irene Zonnastraal. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri katika jiji la Dodoma

Azael and Irene safi sana Hakika mlipendeza sana


Nice


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Bestman akiwa na Matron
The Girls
Swagga la baba Mwenyenyumba

Swagga la mama Mwenye nyumbaUpendo kwa wazazi
Hakika Irene alilitendea haki gauni lake la harusi


Baba Nimekubali hiyo suti yako safi sana.


Safi full in Love
Kanisa walipofungia pingu ndani ya jiji la Dodoma


Jamani Mwisho wakunuku