GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, July 1, 2013

Miss Kinondoni 2013 Part 1. Onja jinsi mambo yalivyojiri kwenye Redds Miss Kinondoni 2013

Stage ikiwa tiyari kabisa katika hoteli ya goldern tulip


Zawadi mbalimbali ambazo wageni walikuwa wanajishindia walipokuwa wanakunywa  ReddsKama Kawa hi ni bonge la Energy Drink. Inaitwa Chilly Willy. Naikubali sana.

Muandaji wa Miss Kinondoni akisalimia wageni waalikwa


Kama kawa DJ..... alikuweko akifanya mambo. Safi sana


Huyu ndiye Redds Miss Kinondoni 2013. Na hapa akiwa na vazi la ubunifu. Nitawaletea safari nzima ya huu mchakatoSafi sana

Kwa Maswaaga zaidi zama hapa
Redds Miss Tz akiangalia mchakato mzima . Kama unakumbuka Miss Tz ndiye alikuwa  Miss Kinondoni. Kwahiyo hapa anajianda kukabizi taji la miss Kinondoni 2013


Kwa sasahivi naishia hapa. Bado maswagga yanakuja.