GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, June 26, 2013

The Wedding of Deo and Millie's. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojri


David and Millie. Dah nimewakubali. Hakika walipendeza sana

In Love



Nice








Dah nimependa hi picha. Hata rangi ya kucha za Millie kapatia sana. zimeendana na pete pamoja na Koti la bwana harusi. Cheki hiyo mistari ya rangi ya gold. Kweli walijipanga. Safi sana


Deo alitokelezea na swagga la Kirubani zaidi. safi sana

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao.

Safi sana

Saluteeeeeeee
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more




Nimeipenda hi.






I do



Nimependa hi. Dah ningumu sana kupiga hi picha. Kwanza kunakuwaga na watu wengi. Uweze kuwasogeza pembeni, pili kanisa ni refu. uweze kupiga picha kanisa lote plus maharusi waonekane vizuri. hapo nimejikubali.






















Swagga Hatarishi





Nice










































In Love





Ruka Juuuu

































Keki




Safi sana. Kweli walijipanga


Dah jamani kwaleo naomba niishie hapa maswaaga nimengi sana. Nimekumbuka kumbe sijaleta maswaaga ya miss kinondoni. duuuuuuu!!.

3 comments:

  1. Wow wow wow wow wow...nimewapenda wote!!!!hii design am sure its Millie only imagination...Hongera sana babes...!!!!From Ileta

    ReplyDelete
  2. nimependa shela ivokuwa covered mabegani na lace ,,nzuri sana,bi haruc umependeza ila matron mmmmh hajapendeza

    ReplyDelete
  3. Pendeza sana maharuc na bridesmaids wote wa kike na kiume, congratulations

    ReplyDelete