GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, June 3, 2013

Miss Dar City center 2013 - Part 1. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri. Chakula bado kiko jikoni

Mshindi wa Miss Dar City Center ni Alice Isack. Hongera sana 

Safi

Stage


Kilio cha furaha baada ya kutangazwa kuwa mshindi


Safi


Jaji Wema Sepetu safi sana


H. Temu alikuweko. hapa akiwauliza maswali washirikiKupata Uhondo zaidi zama hapa
Miss Dar city centerKwa sasahivi naishia hapa kaa mkao wakula maswagga zaidi yatakuja.