GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, June 17, 2013

GlamBox 2013. Hongera Glam Madam kwa Mapinduzi makubwa katika mambo ya Urembo

Hongera sana Glam Madam. 

Hakika hapa maharusi na wadada wote wanao penda mambo ya urembo wamepata solution.

 
Ofisi Mpya ya glambox. Watanzania tukiamuwa tunaweza. Safi sana


Kweli kwa wachache tulio bahatika kufika tumeikubali. Naamini nawewe unae angalia hizi picha umeikubali. Namimi nimejikubali.


Very Nice. Sipati picha jinsi maharusi watakavyopendeza. DahIlikuwa ni ijumaa nilipo pata mualiko wa kuja kwenye uzinduzi wa  ofisi mpya ya Glambox. Hakika tulikula na kunywa. Aksante sana. Picha cha tukio zima zitakuja soon. Leo nimewaonjesha  muonekano wa ofisi. Kesho nitawaletea maswagga ya wadau mbalimbali walio alikwa. kaaa Mkao wakula

Glam madam akiwa na timu yake tiari kwa kupiga kazi.

Glam Madam akizindua new office

SafiDah kwa sasahivi naomba niishie hapa. Kesho nitawaletea maswaaga zaidi. Hongera sana Glam madam.
Unaweza kuwasiliana na GlamBox kupitia number hizi
 +255713 931888 or 757 931888 or 684 831888.