GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, June 19, 2013

Miss Kinondoni 2013. Kutana na washiriki wa miss kinondoni watakao chuwana ijuma hii pale katika hoteli ya Goldern Tulip.

Kama kawa GRM Production  tutakuweko kwenye Miss Kinondoni 2013 hapo ijumaa wiki hi.


Hakika hawa warembo wamepikika wakaiva.


Nitawaletea maswagga zahidi. Hapa nilikuwa najaribu na nilitumia less than 5 min kuwapiga picha warembo wote. kwakweli wako fiti sana.