GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 21, 2013

GlamBox 2013. Maswagga zaidi wakati wa uzinduzi GlamBox New office!

Narudia tena kukupongeza. Hongera sana Glam Madam


Upendo kwa Dada

Wadau walio alikwa kwenye uzinduzi wa Glam new Office


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
Nikatowa swagga na Glam madam

Kwakweli siku maharusi wakikosa sehemu yakupigia picha wanaweza kupigia picha hapa na wakapata picha kali sana.


Sasa warembo kazi kwenu. Jamani Nawatakia weekend njema. Kwangu mimi ndio jumatatu leo.