GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, June 10, 2013

Onja kidogo The Wedding of David and Seraphine.

David and Seraphine safi sana hakika walipedeza sana

Nice

Nakumbuka nilikuwa napita tu pande za goldern tulip nikakutana na hawa maharusi. Jinsi walivyokuwa wamependeza ilibidi nitoe camera japo niwanukuu kidogo

Hakika Seraphine alilitendea haki gaunilake la harusi


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao bestman na matron
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read MoreSwagga la baba mwenyenyumba


Upendo kwa dadaDada's

The Family


Upendo kwa wazazi


Upendo kwa mama. Namuona Prof Rutashobya hakika alipendeza sana

Upendo kwa baba

Nice


Upendo kwa wazazi

Upendo kwa baba

Jamani Mwisho wakunuku. Kwa niaba ya grm production nawatakia maharusi hawa maisha mema yenye upendo , amani na furaha.