GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, August 27, 2014

RealMadrid wazindua Jengo-Duka na showroom ya Tropical iliyoko Victoria. Onja jinsi mambo yalivyojiri!

Team ya RealMadrid wakiwasili katika duka la kisasa la Vifaa vya umeme Tanzania-Tropical lililoko Victoria. 

Hili jengo la tropical liko upande wakulia kama unatokea mwenge baada ya kituo cha mafuta victoria. Liko barabarani kabisa

Mheshimiwa Meya wa kinondoni akitowa neno

Mheshimiwa Balozi wa Zambia akitowa neno. Zambia ni nchi mojawapo inayo tumia vifaa vya umeme vya tropical.



Uzinduzi wa Jengo, duka , na showroom ya Tropical







Mchezaji wa Realmadrid akishanga kuona vifaa vya kisasa. Alizani yuko Hispania kumbe ni hapa hapa bongo

haamini anachokiona!


Bado anaendelea kushanga

Toti akiingia ndani ya duka la Tropical




Akitowa swagga na warembo wa tropical



Uzalendo ulimshinda ikabidi apige Selfie-Binafsi na taa. Chezea bidha za tropical. Nahisi huyu mchezaji anajenga nyumba maana kachukua contact na kauliza kama tropical wanaweza kumtumia mzigo Hispania!

Kweli taa za tropical zimemchanganya. Mimi mwenyewe nimezikubali na ukija GRM utakuta nimezifunga. Mwenyemacho 
haambiwi tazama

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More

Friday, August 22, 2014

The Wedding of David and Alice Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika David and Alice walitokelezea.

Nice



Swagga la ruka juuu




Hakika Alice alilitendea haki gaunilake la Harusi

Nice

Alice and David wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron



The Team




The Boys

The Girls






Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more

Wednesday, August 6, 2014

The Wedding of Sunday and Angela. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Sunday and Angela hakika walitokelezea. Safi sana



Nice

Swagga la kuchi kuchi ........



Ruka juuuuu


Hapa nimewakubali maharusi na mimi nimejikubali




The moment
















Swagga la Mama Mwenye nyumba

Hakika Angela aliliyendea haki gauni lake la harusi




The Girls


The Team








Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron

Nice










Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more