 |
Team ya RealMadrid wakiwasili katika duka la kisasa la Vifaa vya umeme Tanzania-Tropical lililoko Victoria. |
 |
Hili jengo la tropical liko upande wakulia kama unatokea mwenge baada ya kituo cha mafuta victoria. Liko barabarani kabisa |
 |
Mheshimiwa Meya wa kinondoni akitowa neno |
 |
Mheshimiwa Balozi wa Zambia akitowa neno. Zambia ni nchi mojawapo inayo tumia vifaa vya umeme vya tropical. |
 |
Uzinduzi wa Jengo, duka , na showroom ya Tropical |
 |
Mchezaji wa Realmadrid akishanga kuona vifaa vya kisasa. Alizani yuko Hispania kumbe ni hapa hapa bongo |
 |
haamini anachokiona! |
 |
Bado anaendelea kushanga |
 |
Toti akiingia ndani ya duka la Tropical |
 |
Akitowa swagga na warembo wa tropical |
 |
Uzalendo ulimshinda ikabidi apige Selfie-Binafsi na taa. Chezea bidha za tropical. Nahisi huyu mchezaji anajenga nyumba maana kachukua contact na kauliza kama tropical wanaweza kumtumia mzigo Hispania! |
 |
Kweli taa za tropical zimemchanganya. Mimi mwenyewe nimezikubali na ukija GRM utakuta nimezifunga. Mwenyemacho
haambiwi tazama
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
|
 |
Shampeni. Mambo ya Moet |
 |
Miss Tanzania naye alikuja kusupport Tropical |
Nikipiga binafsi-'Selfie' na baadhi ya wachezaji Totii. Jembe la Itali
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more
 |
Miss Tanzania naye alikuweko |
 |
mchezaji wa Realmadrid akitowa neno la shukwani |
 |
Mratibu wa shuhuli akipunga upepo baada ya kazi nzito. Safi sana |
 |
Karambeu akipiga picha na Mr Ngowi-Tropical |
 |
Mr Mlawa-Tropical |
 |
Namuona Mbunge kwa Mbali. Safi sana |
 |
Jamani Mwisho wakunuku |
No comments:
Post a Comment