GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, August 22, 2014

The Wedding of David and Alice Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika David and Alice walitokelezea.

NiceSwagga la ruka juuu
Hakika Alice alilitendea haki gaunilake la Harusi

Nice

Alice and David wakiwa na wasimamizi wao Bestman na MatronThe Team
The Boys

The Girls


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Beatman na MatronNimekubali hili swagga
Keki

Jamani mwisho wakunuku. Ngoja nikaipoke team ya Real M. Kwa wapenzi wampira basi kuanzia kesho nitawarushia maswagga yote yatakayo jiri kwenye ziara ya hi Team kwani nitakuwa nao hapa Tz mpaka watakapo ondoka.