GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, August 6, 2014

The Wedding of Sunday and Angela. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Sunday and Angela hakika walitokelezea. Safi sanaNice

Swagga la kuchi kuchi ........Ruka juuuuu


Hapa nimewakubali maharusi na mimi nimejikubali
The moment
Swagga la Mama Mwenye nyumba

Hakika Angela aliliyendea haki gauni lake la harusi
The Girls


The Team
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron

Nice


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read moreMatron


Sunday akiwa na Bestman


JK- SafiJamani Mwisho wakunuku