GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, July 29, 2013

Grm Production. The Wedding of Kenneth and Charlotte. Onja kidogo. Chakula ndio kwanza kiko jikoni.

Kenneth and Charlotte hongera sana .
Hakika walipendeza sana jamani
Huwa napenda sana kama maharusi wanakuwa wanajipanga. Ibada ya ndoa ilikuwa saa 11:00 am-12.10 pm kwa hiyo baada ya hapo maharusi walikuwa wanamuda wakutosha wakupiga picha na kujianda kwa ajili ya sherehe ya jioni. Pia wanakuwa na muda wakupumzika.  Kweli zile ibada zinazoanzaga saa 4 pm lazima maharusi wachoke sana pia hata muda wa kupiga picha za gardern kunakuwa hakuna kwasababu giza linakuwa limeshaingia.
Charlotte alilitendea haki gauni lake la harusi. Safi sana.
Swagga la  I will always love you
Yes nimeipenda hi. Safi sana. Kweli Kenneth and Charlotte walitowa ushirikiano sana wakati wakupigapicha. wakati mwingine unawaambia maharusi hebu rukeni hata juu wanaona kama unawasumbua.


Swagga la Baba Mwenyenyumba

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron

The Girls

Dah walipendeza sana. Rangi ya Pink huwa inakuwa bomba sana. ila itendewe haki kama hawa hapa.  Alafu pia wasimamizi wakivaa magauni  marefu mimi naona wanapendeza  kuliko magauni mafupi. 
Kwa maswagga zaidi zama hapa chini kwenye Read More

Thursday, July 25, 2013

The Wedding of Priscus and Evelyne. Part 1. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri katika Jiji La Moshi

Evelyne and Priscus hongereni sana.

Safi

Hakika Mlitokelezea sana


In Love


Nice


Safi sana
Hakika Evelyne alipendeza sana na alilitendea haki hili gauni lake la harusi.

Nice
Swagga la Baba Mwenyenyumba. Safi sana . Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Bestman na Matron


The Girls
Nice
The Moment
The Boys

Swagga hatarishi
Swagga la Chungulia Mwali

Kwa Maswagga zaidi zama hapo kwenye Read More