GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, July 22, 2013

The Weeding of Mike and Doreen. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri.

Hakika Mike and Doreen walipendeza sana

SafiKweli walijipanga. Safi sana

Nimekubali hili gauni la Doreen. Hakika amelitendea haki.

Swagga la Mama Mwenyenyumba

Hapa nimejikubali. Huwa napenda kupiga picha maharusi na kanisa walipofungia pingu kwa kumbukumbu.

Safi
Safi The girls


The BoysMaharusi wakiwa na wasimamizi wao

 kwa Maswagga zaidi zama hapo kwenye read more
Doreen akiwa na matron wakeMike akiwa na bestman wake

Safi sana hakika walipendezaga


Gari likitowa swagga

Safi

Namkubali sana huyu kijana wangu. huwa anajituma balaa. Duu ila hi kali. naisubiri hi DVD kwa hamu.Maharusi walikwenda SeaCliff kupata lunch. Huwa napenda sana kama Ndoa ikifungwa mapema. Nakumbuka kanisani tuliingia 11:00 am. Hi inawapa muda wa kupumzika maharusi na kujianda vizuri kwa sherehe jioniHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Golden... pale maeneo ya AkemiHapa Najikubali


Hakika Walijipanga. Hizi glass ni special order. Ziliandikwa majina ya Maharusi

Keki. Safi sana jamani ilikuwa tamu balaaa.Kama kawa tulifunga Studio

Jamani hapa sio duka la pombe kali. Ni vinywaji  kwa ajili ya wageni waalikwa. Dah palikuwa hapatoshi. Watu walipiga chicha balaa.
HongeraKeki

Nimekubali hichi kiatu cha bwana harusi. 

Safi sanaVijana wangu wakiwa kazini

Safi. Pendeza wewe

Glam madam


8020
Jokate akitaniana na Bi Harusi
Safi.Nice
Kamati

Add caption
Jamani Mwisho wa kunuku. Maswagga nimengi sana . Jamani kwaniaba ya GRM production nawatakia Mike and Dorinee maisha mema yenye furaha, amani na Upendo