GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, September 21, 2015

Yaliyojiri Weekend hii! Part 1 -The wedding of Erastus & Anna

Hakika Erastus na Anna Walitokelezea. Safi sana


Nice


Hakika Anna alilitendea haki gauni lake


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Bestman na Matron

The GirlsHakika CYN Henjewele Flowers & Decoration waliutendea haki ukumbi wa Diamond VIP. Ukiwahitaji basi wapigie kwa number - 0713601906


Kama kawaida mambo ya keki yalikuwa chini ya Dada Monica


Mwisho wa kunuku. Chakula bado hata hakijaanza kupikwa.