| Goodluck & Judith |
| The Moment. |
| Swagga la nani ataanza kucheka |
| Nice |
| Swagga la pingu |
| Kama mnapendana utani ni lazima. Safi sana Goodluck & Judith |
| Hakika Judith alilitendea haki gauni lake la harusi |
| Swagga la 'Leta Viatu vyangu ' |
| Swagga la baba Mwenye nyumba aka MUME wa Mtu aka mume wa Judith. |
| Swagga la Kuchikuchi....... |
| Nice. Nafisi hapa ndipo kulikuwa na The First Kiss |
| Maharusi wakiwa na Wasimamizi wao Bestman and Matron |
| Safi |
| The Girls |
| Swagga la Binafsi aka Selfie |
| Nice |
Kwa maswaga zaidi zama hapa kwenye read more
| Kama kawa Dada Maznat alimtendea haki Judith |
| Pingu |
| Maharusi wakiingia ukumbini. |
| Duu nimekubali hii keki |
| Nice |
| Mwisho wakunuku |
No comments:
Post a Comment