GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, September 18, 2015

The Wedding of Ahmad & Aretha. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Ahmad na Aretha walipendeza sana
NiceSwagga la "Will you marry me"Swagga la Ukianguka nitakubeba Mke wangu.


Swagga la baba Mwenye nyumba


The Girls
Swagga la Binafsi-Selfie

Upendo kwa wazazi
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Nice


SafiHakika Aretha alilitendea haki gauni lake


Upendo kwa wazaziHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Diamond VIPNice. 
Ahmad akiingia ukumbini kwa style ya aina yake. Safi sana

Keki


The First Dance
Mwisho wakunuku. Kwa kweli ilikuwa ni bonge la Party-harusi